Welcome to Chuo Kikuu SDA Church

  • Connect with our church
home Events Event Details

Event Details

08 April

NJOMBE NET EVENT

Uongozi wa Kanisa unapenda kuwatangazia kuwa kuanzia tarehe 09.05.2026 hadi tarehe 30.05.2026 kutakuwa na mahubiri yaliyoratibiwa na Chama cha ATAPE kwa kushirikiana na Uongozi wa Kanisa ngazi ya Union ambayo yameanza leo mkoani Njombe na kurushwa kwa njia ya satelaiti na yanaitwa Njombe Net Event. Kutakuwa na vituo ndani ya kampasi za ARU, TNC-UDSM na Chuo Maji, lakini pia eneo la Changanyikeni Gereji. Waumini wote tunakumbushwa kufuatilia mahubiri hayo na kuwaalika wengine kufuatilia pamoja nasi.

0 Comments

Write a comment